Aljeria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 184:
 
==Watu==
Wakazi wengi wana mchanganyiko wa [[damu]] ya Kiarabu na ya Kiberber na wachache ya Kituruki na ya Kiberber; karibu wote (98%) wanafuata [[dini]] ya [[Uislamu]].

[[Wakristo]] ni 1%, wakiwemo [[Waprotestanti]] na [[Wakatoliki]], lakini wengine wanashindwa kujitokeza kutokana na [[hofu]] ya [[dhuluma]].
 
[[Lugha rasmi]] ni Kiarabu (72%) na Kiberber (27-30%), lakini wengi sana wanaongea pia [[Kifaransa]].
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa]]
* [[Demografia ya Afrika]]
 
==Tanbihi==