Jibuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 70:
 
Hadi leo umuhimu na uchumi wake unategemea [[bandari]], ambapo zinapitia [[asilimia]] 95 za [[bidhaa]] zinazoingizwa Ethiopia. Nchi hiyo imeunganishwa na Jibuti [[kwa]] [[reli]], moja ya zamani, na nyingine mpya iliyokamilika mwaka [[2016]].
[[Picha:dj-map.png|thumb|290px|left|Ramani ya Jibuti]]
 
==Watu==
Siku hizi wakazi wengi (60[[%]]) ni [[Wasomali]], hasa wa [[kabila]] la [[Waisa]], halafu [[Waafar]] (35%). [[Asilimia]] 5 zilizobaki ni [[Waarabu]], [[Waethiopia]] na [[Wazungu]] (hasa Wafaransa na [[Waitalia]]).
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kifaransa]] na [[Kiarabu]]. [[Kisomali]] ni [[Kiafar]] ni [[lugha ya taifa|lugha za taifa]].
 
Upande wa [[dini]], [[Uislamu]] unafuatwa na 94% za wakazi na ndio [[dini rasmi]] pekee. Asilimia 6 wanafuata [[Ukristo]] katika [[madhehebu]] mbalimbali, hasa [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kutoka [[Ethiopia]] (3.2%), halafu [[Wakatoliki]] (1.4%) na [[Waprotestanti]] (chini ya 1%).
 
[[Picha:dj-map.png|thumb|290px|left|Ramani ya Jibuti]]
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa]]
* [[Demografia ya Afrika]]
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|Djibouti}}