Komori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 71:
[[Kitovu]] cha kisiwa kikubwa zaidi (Grande Comore) ni [[mlima]] wa [[volkano]] hai [[Karthala]] wenye [[mita]] 2,461 juu ya [[UB]]. Safari iliyopita Karthala ililipuka mwaka [[1977]] ikaharibu [[kijiji]] kimoja.
 
===Miji===
Miji mikubwa ni (wakazi mwaka 2005): [[Moroni (Komori)|Moroni]] 42.872, [[Mutsamudu]] 23.594, [[Fomboni]] 14.966, [[Domoni]] 14.509 na [[Tsémbehou]] 11.552.
 
== Watu ==
Watu wa Komori ni mchanganyiko wa [[Waarabu]], [[Madagaska|Wamadagaska]], [[Waafrika]] wa [[bara]] ambao [[babu|mababu]] walikuwa [[watumwa]], [[Wahindi]] na [[Wazungu]] kadhaa.
 
Kutokana na uhaba wa [[ajira]] Wakomori wengi wamehamia nje, hasa Madagaska.
 
Wakazi wengi ni [[Waislamu]] (98%, hasa [[Wasunni]]), wakifuatwa na [[Wakristo]] (2%). Karibu [[nusu]] ya wananchi wote hawajui kusoma.
 
Ina [[lugha rasmi]] tatu ambazo ni [[Kifaransa]], [[Shikomor]] (inayofanana na [[Kiswahili]]) na [[Kiarabu]].
 
Nje ya [[Kifaransa]], [[Kiarabu]] na [[Kimalagasy Sanifu]], kuna lugha tatu za asili ambazo huzungumzwa na Wakomori, yaani [[Kimwali]], [[Kindzwani]] na [[Kingazidja]] ambazo ziko karibu na [[Kiswahili]].
 
== Historia ==
Line 114 ⟶ 103:
 
Katika uchaguzi wa 2010 ndiye [[Ikililou Dhoinine]] aliyepata kura nyingi.
 
== Watu ==
Watu wa Komori ni mchanganyiko wa [[Waarabu]], [[Madagaska|Wamadagaska]], [[Waafrika]] wa [[bara]] ambao [[babu|mababu]] walikuwa [[watumwa]], [[Wahindi]] na [[Wazungu]] kadhaa.
 
Kutokana na uhaba wa [[ajira]] Wakomori wengi wamehamia nje, hasa Madagaska.
 
Wakazi wengi ni [[Waislamu]] (98%, hasa [[Wasunni]]), wakifuatwa na [[Wakristo]] (2%). Karibu [[nusu]] ya wananchi wote hawajui kusoma.
 
Ina [[lugha rasmi]] tatu ambazo ni [[Kifaransa]], [[Shikomor]] (inayofanana na [[Kiswahili]]) na [[Kiarabu]].
 
Nje ya [[Kifaransa]], [[Kiarabu]] na [[Kimalagasy Sanifu]], kuna lugha tatu za asili ambazo huzungumzwa na Wakomori, yaani [[Kimwali]], [[Kindzwani]] na [[Kingazidja]] ambazo ziko karibu na [[Kiswahili]].
 
== Uchumi ==
Line 119 ⟶ 120:
 
[[Barabara]] na [[mawasiliano]] ya [[meli]] au [[ndege]] ni haba, idadi ya watu inakua haraka, [[elimu]] ni duni; haya yote yanasababisha kudumu kwa uchumi wa kijungujiko na uhaba wa ajira. 80% ya wafanyakazi wote wanashughulika kilimo.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa]]
* [[Demografia ya Afrika]]
 
== Viungo vya nje ==