Pembetatu ya Kusini (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
==Mahali pake==
Pembetatu ya Kusini inaonekana vema katika kanda la [[Njia Nyeupe]], karibu na nyota mashuhuri za [[Alfa Centauri]] (Rijili Kantori) na Beta Centauri kwenye [[Salibu (kundinyota)|kundinyota ya Salibu]]. Iko jirani na kundinyota za [[Kipimapembe (kundinyota)| Kipimapembe]] (Norma) upande wa kaskazini, [[BikariiBikari (kundinyota)|Bikari]] (Circinus) upande wa magharibi, [[Ndege wa Peponi (kundinyota)| Ndege wa Peponi]] (Apus) upande wa kusini na [[Madhabahu (kundinyota)|Madhabahu]] (Ara) upande wa mashariki.
 
==Jina==
Pembetatu ya Kusini ni kati ya kundinyota zilizobuniwa katika enzi ya kisasa. Kama nyota nyingine zinazoonekana kutoka nusutufe ya kusini pekee haikujulikana kwa Wagiriki wa Kale wala kwa Waarabu kwa hiyo wataalamu wa Ulaya hawakuwa na habari nazo.