Réunion : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 29:
|}
 
'''Réunion''' (kwa [[Kifaransa]]: La Réunion) ni [[kisiwa]] cha [[Afrika]] na [[mkoa wa ng'ambo]] wa [[Ufaransa]] (kwa [[Kifaransa]]: département d'outre-mer, au DOM) katika [[Bahari Hindi]] upande wa mashariki wa [[Madagaska]]. Kisheria hali yake ni sawa na mikoa mingine ya Ufaransa hivyo ni pia sehemu ya [[Umoja wa Ulaya]].
 
== Eneo lake ==
Reunion iko 800 km 800 upande wa [[mashariki]] wa [[Madagaska]]. Pamoja na visiwa vya [[Mauritius]] na [[Rodrigues]] inaunda [[funguvisiwa]] yala [[Maskareni]].
 
Kisiwa kina eneo la [[km²]] 2.512 km² kikiwa na upenyo[[kipenyo]] wacha km 50 hadi 70 km.
Milima mikubwa ni ya ki[[volkeno]]. Upande wa mashariki wa kisiwa ndipo mlima wa "Piton de la Fournaise" mwenye 2611 m uliolipuka zaidi ya mara 100 tangu kumbukumbu ya kimaandishi ilianzishwa mwaka 1640. Mlipuko wa mwisho hadi leo ilikuwa tar. 4.10.2005.
 
[[Milima]] mikubwa ni ya ki[[volkeno]]. Upande wa mashariki wa kisiwa ndipo mlima wa "Piton de la Fournaise" mwenyewenye 2611[[urefu]] mwa [[mita]] 2611 uliolipuka zaidi ya mara 100 tangu kumbukumbu ya kimaandishi ilianzishwailipoanzishwa mwaka [[1640]]. [[Mlipuko]] wa mwisho hadi leo ilikuwaulitokea tar.tarehe [[4.10. Oktoba]] [[2005]].
 
Mlima wa "Piton des Neiges" ndio mkubwa kisiwani ikiwa na 3070 m juu ya [[UB]].
 
== Hali ya hewa ==
[[Hali ya hewa]] ni ya [[joto]] mwaka wote. [[Majira ya mvua]] ndiyo kati ya [[Desemba]] hadi [[Machi]].
 
== Historia na Utawala ==
Taarifa za kwanza za kimaandishi hudokeza kwamba kisiwa kilikuwa bila ya wakazi.
 
[[Waarabu]] waliita "dina margabin" yaani kisiwa cha [[magharibi]].
 
Mbaharia[[Baharia]] [[Ureno|Mreno]] [[Diego Dias]] alifika tarehe [[9 Februari]] [[1513]] ambayo ni [[sikukuu]] ya Mt. [[Apolonia]] katika mapokeo ya [[Kanisa Katoliki]] na kukiita kisiwa kwa jina la [[mtakatifu]] huyu "Santa Apolonia", jinsi inavyoonekana katika ramani za kwanza.
 
Baadaye Wareno walitumia [[jina]] la [[nahodha]] maarufu [[Pedro de Mascarenhas]] na kujumlisha visiwa vya Reunion, Mauritius na Rodrigues kwa jina la [[visiwa vya Maskareni]]. Visiwa hivihivyo vilikuwa na umuhimu fulani kama vituo vya kupumzika katika [[safari]] kati ya [[Ulaya]] na [[Bara Hindi]], mabaharia wakitafuta [[maji]] ya kunywa, nafasi ya kutengeneza [[jahazi]] zao na kuongeza [[chakula]]. Lakini hapakuwa na makao ya kudumu kisiwani.
 
=== Utawala wa Kifaransa ===
Mwaka [[1640]] Wafaransa walivamia kisiwa na kukitangaza kuwa [[mali]] ya [[Ufaransa]]. Walikiita "Île Bourbon" kutokana na jina la [[familia]] ya [[wafalme]] wa Ufaransa.
 
Mwaka [[1665]] [[walowezi]] wa kwanza Wafaransa walianza kujenga [[nyumba]] zao.
 
Ufalme ulipoondelwaulipoondolewa wakati wa [[mapinduzi ya Ufaransa]] kisiwa kimepewa jina jipya la Reunion tarehe [[17 Machi]] [[1793]].
 
Wakati wa [[vita]] vya [[Napoleoni]], Waingereza walivamia kisiwa mwaka [[1810]] lakini wakakirudisha kwa Wafaransa baada ya vita ([[1815]]).
[[Picha:Makarena.PNG|thumb|left|300px|Visiwa vya MakarenaMaskarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi.]]
 
=== Uchumi wa mashamba na watumwa ===
Walowezi [[Wazungu]] walianzisha [[Shamba|mashamba]] kwa ajili ya mahitaji ya jahazi zilizopita.
 
Kuanzia mwaka [[1718]] [[mazao ya biashara]] yalilimwa, kwanza [[kahawa]] baadaye pia [[vanilla]] na hasa [[sukari]]. Kwa kusudi hilo [[watumwa]] walipelekwa Reunion kutoka [[Afrika bara]], Bara Hindi na Madagaska.
 
Mwaka [[1768]] kisiwa kilikuwa na wakazi huru 26,284 (hasa Wafaransa) na watumwa 45,000.
 
Ufaransa ulitia sahihi maazimio ya [[Mkutano wa Vienna]] mwaka [[1815]] pamoja na kumaliza [[biashara ya watumwa]] lakini [[biashara]] hii iliendelailiendelea kwa [[siri]] na kupanuka hasa kwa wafungwa kutoka Afrika. Idadi ya watumwa iliendela kuongezeka hadi kuondolewa hali ya utumwa tarehe 20 [[20 Desemba]] [[1848]].
 
Baada ya mwisho wa utumwa walowezi walitafuta [[wafanyakazi]] huko Bara Hindi wakachukua wafanyakazi Wahindi wasiofika kama watu huru kwa miaka na haki kidogo.
 
Baadaye hata wafanyakazi [[Wachina]] walichukuliwa.
 
=== Mkoa wa Ufaransa ===
Mwaka [[1946]] Reunion ilipewa cheo cha Mkoa wa Ufaransa, na tangu [[1997]] imekuwa sehemu ya Umoja wa Ulaya.
 
Mkoa wa Reunion ina [[wilaya]] (Kifaransa: arrondissements) [[nne]].
 
== Wakazi ==
Wakazi wanaonyesha [[historia]] hii katika mchanganyiko wao wa aina za watu na tamaduni kutoka pande mbalimbali wa [[dunia]].
 
Sehemu kubwa ya wakazi ni watoto[[wajukuu]] wa watumwa au wafanyakazi wasio huru wa zamani wakionyesha tabia za Wahindi, Waafrika na Wachina. Takriban [[robo]] ya wakazi ni wa asili ya Ulaya. Kuna lugha tatu tu ambazo huzungumzwa na wakazi wa Réunion, yaani [[KifaransaUlaya]] (lugha rasmi), [[Kitamil]] na [[krioli]] inayotokana na Kifaransa. Pia kuna wahamiaji kutoka visiwa vya jirani ambao huzungumza lugha za Kichina na za [[Komori]], kama vile [[Kimaore]], [[Kimwali]], [[Kindzwani]] na [[Kingazidja]].
 
Kuna [[lugha]] tatu tu ambazo huzungumzwa na wakazi wa Réunion, yaani [[Kifaransa]] ([[lugha rasmi]]), [[Kitamil]] na [[krioli]] inayotokana na Kifaransa. Pia kuna wahamiaji kutoka visiwa vya jirani ambao huzungumza lugha za [[Kichina]] na za [[Komori]], kama vile [[Kimaore]], [[Kimwali]], [[Kindzwani]] na [[Kingazidja]].
Vikundi hivi havikai mbali: kuna mchanganyiko wa kila aina. Wakazi wengi hufuata [[Ukristo]] wa Kikatoliki, wengine [[Uislamu]] na [[Uhindu]]. Kuna pia [[Waprotestanti]].
 
Vikundi hivi havikai mbali: kuna mchanganyiko wa kila aina. Wakazi wengi hufuata [[Ukristo]] wa [[Kanisa Katoliki|Kikatoliki]], wengine [[Uislamu]] na [[Uhindu]]. Kuna pia [[Waprotestanti]].
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu]]
* [[Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa]]
* [[Demografia ya Afrika]]
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Réunion|Réunion}}
{{Afrika}}
 
{{Afrika}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]
[[Jamii:Visiwa vya Afrika]]