Kaa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Saratani ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina la Saratani linatokana na Kiarabu <big>سرطان </big> ''sartan'' linalomaanisha kaa<ref>Ugonjwa wa saratani au kansa ulipokea jina lake kwa sababu matibabu wa Ugiriki ya Kale waliona uvimbe wake unafanana na miguu ya mnyama kaa.</ref>. Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Καρκίνος ''karnikos'' kwa maana hiyohiyo na hao walipokea kundinyota hii tayari kutoka [[Babeli]] lakini Wabebli waliiona kama alama ya kobe ya maji.
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Saratani" limesahauliwa ikiwa kundinyota inaitwa kwa tafsiri tu "Kaa".
Mstari 17:
Katika vitabu kadhaa vya shule jina la Saratani limetumiwa kutaja sayari ya [[Zohali]] kwa kulichanganya na matamshi ya jina la Kiingereza "Saturn".
 
Jina la kundinyota hili ni sawa na ugonjwa wa [[saratani]] unaoitwa pia "kansa". Sababu yake ni ya kwamba matibabu wa kale walifananisha uvimbe wa ugonja na mnyama kaa na hili ni pia maana ya neno saratani.
 
== Mahali pake ==