Nile : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 70:
 
Hadi leo Misri inadai ya kwamba mapatanao yale yanakataa [[ujenzi]] wa malambo na kuanzishwa kwa miradi ya [[umwagiliaji]] inayotumia maji ya Nile bila [[kibali]] cha [[serikali]] yake. Hapa Misri inadai ya kwamba nchi zote zilizokuwa ma[[koloni]] ya Uingereza wakati ule zinafungwa na [[mapatano]] ya [[1929]] na hizi ni pamoja na Sudan, Uganda, Kenya, Tanzania, halafu pia Ethiopia iliyopatana na Uingereza wakati ule. Nchi nyingine hazikubali, na majadiliano juu ya mapatano mapya ya [[ushirikiano]] katika beseni ya Nile yanaendelea.
 
==Tazama pia==
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
 
{{mbegu-jio-Afrika}}