Zambezi (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
No edit summary
Mstari 11:
}}
 
'''Zambezi''' ni kati ya [[mito mirefu ya Afrika]] ikiwa na nafasi ya [[nne]] baada ya [[Nile]], [[Kongo (mto)|Kongo]] na [[Niger (mto)|Niger]]. Ni [[mto]] mrefu wa Afrika wa kuingia [[Bahari Hindi]]. Beseni yakelake inalina km² 1,570,000  km² au [[nusu]] ya mto Nile. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake iko [[Zambia]] inapita [[Angola]] mpakani na [[Namibia]], [[Botswana]], Zambia na [[Zimbabwe]] kwenda [[Msumbiji]] inapofikia Bahari Hindi katika [[delta]] ya 880 [[km²]].
 
Kwenye mwendo wa Zambezi pana maporomoko kadhaa hasa maporomoko ya [[Victoria Falls]]. Mengine ni maporomoko ya [[Chavuma]] mpakani wa Zambia na Angola halafu [[Ngonye Falls]] karibu na [[Sioma]], Zambia ya magharibi.
Mstari 21:
== Tawimito ==
Tawimito muhimu ni [[Cuando]], [[Kafue (mto)|Kafue]], [[Luangwa (mto)|Luangwa]], [[Shire (mto)|Shire]].
 
 
== Miji muhimu mtoni ==
 
* [[Mongu]]
* [[Lukulu]]
Line 32 ⟶ 30:
* [[Songo]]
* [[Tete]]
 
==Tazama pia==
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
 
== Viungo vya nje: ==