Oranje (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
| mkondo = 800 m³/s
| eneo = 941,421 km²
| mdomo = [[Atlantiki]] mpakanampakani wapa Namibia na Afrika Kusini
| tawimito =
| tawimito kulia =
Mstari 16:
| miji =
}}
[[Picha:Orange River Panorama.jpg|thumb|centre|600px|Pinde la mto Oranje wakati wa mvua]]
'''Oranje''' (kwa [[Kiingereza]] Orange River) ni [[Mito mirefu ya Afrika|mto mrefu]] wa [[Afrika Kusini]].
 
'''Oranje''' ([[ing.]]Chanzo Orange River(mto) ni [[Mito mirefu ya Afrika|mto mrefuChanzo]] wa [[Afrika Kusini]]. Chanzo chake ni katika [[milima ya Maloti]] (Drakensberg) nchini [[Lesotho]]. [[Mdomo]] uko [[Atlantiki]] mpakani kati ya Afrika Kusini na [[Namibia]].
'''Oranje''' ([[ing.]] Orange River) ni [[Mito mirefu ya Afrika|mto mrefu]] wa [[Afrika Kusini]]. Chanzo chake ni katika [[milima ya Maloti]] (Drakensberg) nchini Lesotho. Mdomo uko [[Atlantiki]] mpakani kati ya Afrika Kusini na [[Namibia]].
 
Pale inapokaribia mpaka wa Nambibia Oranje imechimba [[mfereji]] mrefu katika miamba ina maporomoko yake makubwa ya Augrabies. Kwa 500 km mwendo wa mto ni mpaka kati ya Afrika Kusini na Namibia. Mjini [[Oranjemund]] Oranje inaingia [[bahari]] ya [[Atlantiki]].
 
Njiani Oranje inabeba kiasi kikubwa cha [[mashapo]] hasa [[mchanga]] hadi baharini. Hapa husukumwa kusini na [[mkondo wa baharini ya Benguela]]. Mchanga huu ni sehemu kubwa ya mchanga wa [[jangwa la Namib]] na [[tuta la mchanga|matuta makubwa ya mchanga]] yanayopatikana kwenye pwani la Namibia.
Line 27 ⟶ 28:
 
Kwa ujumla Oranje hailishi mimea mengi njiani yake inapopita katika nchi yabisi. Lakini kuna sehemu mbalimbali ambako maji yake huchukuliwa na mitambo kumwagilia mashamba.
 
==Tazama pia==
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
{{mbegu-jio-AfrikaKusini}}
 
 
 
 
[[Picha:Orange River Panorama.jpg|thumb|centre|600px|Pinde la mto Oranje wakati wa mvua]]
 
[[Jamii:Mito ya Lesotho]]
[[Jamii:Mito ya Afrika Kusini]]
[[Jamii:Mito ya Namibia]]
[[Jamii:Mito ya Afrika]]