Senegal (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 47 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3569 (translate me)
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Mto wa Senegal''' ni kati ya [[mito]] mirefu ya [[Afrika]] ukiwa na [[urefu]] wa [[kilometa]] 2272 pamoja na [[tawimto]] mrefu wa [[Bafing]].
Mto Senegal wenyewe unaanza karibu na mji wa Bafoulabe ([[Mali]]) kwenye maungano ya mito miwili ya Bafing na [[Bakoye]] ambayo yote ina chanzo huko [[Guinea]].
 
Mto Senegal wenyewe unaanza karibu na [[mji]] wa [[Bafoulabe]] ([[Mali]]) kwenye maungano ya mito miwili ya Bafing na [[Bakoye]] ambayo yote ina [[Chanzo (mto)|chanzo]] huko [[Guinea]].
Urefu wa mto Senegal ni mpaka kati ya [[Mauretania]] na [[Senegal]]. Senegal ikikaribia [[bahari ya Atlantiki]] inafika kwenye kisiwa cha [[St. Louis]] halafu inageukia kusini. Sasa inafuata pwani la bahari ikitengwa na Atlantiki kwa kanda nyembamba ya mchanga tu hadi kuingia bahari ya Atlantiki.
 
Urefu wa mto Senegal ni mpaka kati ya [[Mauretania]] na [[Senegal]]. Senegal ikikaribia [[bahari ya Atlantiki]] inafika kwenye [[kisiwa]] cha [[St. Louis]] halafu inageukia kusini. Sasa inafuata pwani laya bahari ikitengwa na Atlantiki kwa kanda nyembamba ya [[mchanga]] tu hadi kuingia bahari ya Atlantiki.
Beseni ya Senegal ni kilometa za mraba 483,181. Tawimito muhimu ni [[Faleme]], [[Karakoro]] na [[Gorgol]].
 
[[Beseni]] yala Senegal ni [[kilometa za mraba]] 483,181. Tawimito muhimu ni [[Faleme]], [[Karakoro]] na [[Gorgol]].
 
Mali, Mauritania, Senegal na Guinea zimeshirikiana katika mamlaka ya beseni ya mto wa Senegal (Organisation pour la mise en valeur du fleuve Sénégal - OMVS).
 
[[Picha:Senegal_bonde_la_mto.png|thumb|800px600px|Bonde la mto wa Senegal mpakani wa Senegal na Mauretania]]
 
==Tazama pia==
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
 
[[Jamii:Mito ya Afrika]]