Nile ya buluu : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
(imeunganishwa na Abbai) |
No edit summary |
||
| miji =
}}
[[Picha:Nile ya buluu.png|thumb|290px|Ramani ya Nile ya buluu]]
'''Nile ya buluu''' ni [[tawimto]] mkubwa wa [[mto Nile]]. Inaanza katika [[Ziwa Tana]] kwenye [[nyanda za juu]] za [[Ethiopia]] na kutelemka hadi Sudan. [[Mdomo]] wake
Kwa jumla Nile ya bluu inabeba [[maji]] mengi kushinda Nile nyeupe.
Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia [[Sudan]] inaitwa kwa
Ina [[Chanzo (mto)|chanzo]] chake kwenye [[kimo]] cha [[mita]] 1800 juu ya [[UB]] inapotoka katika [[Ziwa Tana]] katika nyanda za juu za Ethiopia. Kwanza inaelekea kusini-mashariki lakini inabadilika mwelekeo kwenda magharibi halafu kaskazini.
Waethiopia wengi wanasemekana kuitazama kama mto mtakatifu.
==Tazama pia==
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
{{mbegu-jio-Afrika}}▼
▲{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Nile]]
[[Jamii:Mito ya Ethiopia]]
[[Jamii:Mito ya Sudan]]
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
|