Mto Vaal : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 33 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q209530 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mto Vaal''' ni [[tawimto]] mrefu wa [[mto]] [[Oranje (mto)|Oranje]] katika [[Afrika Kusini]].
Inaelekea kusini-magharibi hadi kuungana na mto Oranje karibu na mji wa [[Kimberley (Afrika Kusini)|Kimberley]] mkoani [[Northern Cape]].
Vaal ni mto muhimu kwa ajili ya kilimo, viwanda na matumizi ya nyumbani eneo la Johannesburg.▼
[[Urefu]] wake ni km 1120.
Katika historia ya Afrika Kusini mto Vaal ulikuwa mpaka kati ya koloni ya [[Uingereza]] kusini ya mto na jamhuri za makaburu kaskazini ya mto. Jina la kihistoria ya "[[Transvaal]]" limemaanisha "ng'ambo ya mto Vaal".▼
[[Jina]] la mto limetoka katika [[lugha]] ya [[Kiholanzi]]; [[walowezi]] wa kwanza [[Waholanzi]] walitaka kukumbuka mto Waal wa nyumbani kwao.
▲Vaal ni mto muhimu kwa ajili ya [[kilimo]], [[viwanda]] na matumizi ya nyumbani eneo la Johannesburg.
▲Katika [[historia]] ya Afrika Kusini mto Vaal ulikuwa mpaka kati ya [[koloni]]
==Tazama pia==
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
{{mbegu-jio-AfrikaKusini}}
|