Mlima : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Kilimanjaro 2006-08-13.JPG|thumb|300px|[[Mlima Kilimanjaro]] unavyoonekana kutoka [[Moshi (mji)|Moshi]]]]
[[Picha:Denali Mt McKinley.jpg|thumb|300px||[[Mlima Denali]] jimboni [[Alaska]] ([[USA]]).]]
'''Mlima''' ni sehemu ya uso wa [[dunia]] iliyoinuka sana juu ya [[mazingira]] yake.
Mifano katika [[Afrika]] ni [[Mlima Kilimanjaro]] na [[Mlima Kenya]]. == Kilele na vilele ==
Line 29 ⟶ 31:
Baada ya kutokea milima inaendelea kupungua polepole kutokana na miamba kuvunjika na kusagwa kwa njia ya [[mmomonyoko]]. Athari zinazosababisha mmomonyoko ni hasa tofauti za [[halijoto]] pamoja na maji, [[upepo]] na [[barafu]]. Wakati wa [[joto]] mwamba hupanuka kiasi, wakati wa [[baridi]] hujikaza na kwa njia hii hutokea ufa ndani yake. Hapo maji yanaweza kuingia na kuganda kuwa [[barafu]] wakati wa baridi yakizidi kupanua ufa na kuvunja mwamba polepole.
Mlima mrefu unaojulikana kabisa uko nje ya [[dunia]] kwenye [[sayari]] [[Mirihi]]: unaitwa Olympus Mons na kuwa na urefu wa [[kilomita]] 27.
Mlima mrefu juu ya uso wa dunia huitwa [[Mount Everest]] (mita 8,848) uko mpakani mwa nchi ya [[Nepal]] na [[Tibet]] ([[China]]) katika [[Asia]].
Lakini mlima mrefu kabisa ni [[Mauna Kea]] katika [[funguvisiwa]]
Milima mirefu ya kila bara ni kama
* [[Afrika]]: [[Mlima Kilimanjaro]] (mita 5,963) nchini [[Tanzania]]
* [[Amerika ya Kaskazini]]: [[Mount McKinley]] (mita 6,194) [[Jimbo|jimboni]] [[Alaska]] (USA)
Line 46 ⟶ 48:
==Picha==
<gallery>
Image:Satellitenaufnahme der Alpen.jpg|Safu ya [[Alpi]] katika [[Ulaya]], [[picha]]
Image:Westpeak.jpg|Milima ya Olympic Mountains, jimbo la [[Washington]] ([[Marekani]])
</gallery>
==Tazama pia==
* [[Orodha ya milima]]
== Marejeo ==
Line 55 ⟶ 60:
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Mountains|Milima}}
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Milima| ]]
[[Jamii:Jiografia]]
|