Greenland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 55:
Eneo la Greenland ni kubwa, lakini idadi ya wakazi ni ndogo sana kwa sababu sehemu kubwa ya nchi (85%) imefunikwa na [[ganda]] nene la [[barafu]].
 
==Jina==
[[Jina]] la [[Kiswahili]] limetokana na lile la [[Kiingereza]] "Greenland", ambalo ni [[tafsiri]] ya jina la [[Kidenmark]] "Grønland", linalomaanisha "nchi yenye [[rangi]] ya ma[[jani]] mabichi". Jina hilo Greenland lilitungwa miaka 1000 iliyopita, kwa sababu wakati ule [[hali ya hewa]] [[dunia]]ni ilikuwa na [[joto]] zaidi, na hapakuwa na barafu nyingi kama leo.
 
Jina hilo Greenland lilitungwa miaka 1000 iliyopita, kwa sababu wakati ule [[hali ya hewa]] [[dunia]]ni ilikuwa na [[joto]] zaidi, na hapakuwa na barafu nyingi kama leo.
Ki[[jiografia]] Greenland, [[kisiwa]] kikubwa kuliko vyote duniani, ni sehemu ya [[bamba la Amerika ya Kaskazini]] lakini ki[[historia]] na ki[[siasa]] kwa [[karne]] kadhaa imekuwa na [[uhusiano]] wa karibu na [[Skandinavia]] ([[Ulaya ya Kaskazini]]).
 
==Jiografia==
Ki[[jiografia]] Greenland, [[kisiwa]] kikubwa kuliko vyote [[duniani]], ni sehemu ya [[bamba la Amerika ya Kaskazini]] lakini ki[[historia]] na ki[[siasa]] kwa [[karne]] kadhaa imekuwa na [[uhusiano]] wa karibu na [[Skandinavia]] ([[Ulaya ya Kaskazini]]).
 
[[Mlima]] wa juu wa Greenland ni [[Mlima Gunnbjørn]] (m 3,694 juu ya [[UB]]) katika [[Watkins Range]].
[[Picha:Sermeqkujadtlek.jpg|250px|thumbnail|left|[[Barafuto]] ya [[Sermeq Kujatdlek]] upande wa [[magharibi]] wa Greenland.]]