Karate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Kata1.jpg|thumb|right|200px|Mwanafunzi wa karate akiwa amevaa karategi.]]
[[Picha:Karate WC Tampere 2006-2.jpg|200px|thumbnail|Mashindano ya Karate]]
[[File:Obi-gokyū.jpg|thumb|leftright|220px|Kanda za karate zenye rangi mbalimbali]]
 
'''Karate''' (pia '''kareti''', [[jap.]] 空手) ni aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini [[Japan]].<ref name="nussbaum482">Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). [http://books.google.com/books?id=p2QnPijAEmEC&pg=PA482#v=onepage&q&f=false "''Karate''"] in ''Japan Encyclopedia'', p. 482.</ref> Ilianzishwa kwenye kisiwa cha Okinawa ikafika Japani penyewe kwenye chanzo cha karne ya 20 na kusambaa duniani baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]].<ref>http://web.archive.org/web/20090302085743/http://www.wonder-okinawa.jp/023/eng/001/001/index.html</ref>
Line 16 ⟶ 17:
 
== Nguo za Karate ==
[[File:Obi-gokyū.jpg|thumb|left|220px|Kanda za karate zenye rangi mbalimbali]]
 
Wakati wa kucheza karate watu huvaa nguo za pekee zinazoitwa [[karategi]] ambazo ni suruali na jaketi nyeupe. Juu ya jaketi huwa na ukanda mwenye rangi fulani. Rangi inaonyesha cheo mtu amefikia katika ujuzi wa karate. Ukanda mweusi huonyesha cheo cha juu.
 
==Viungo vya Nje ==
* [[http://www.wkf.net/ Shirikisho la Karate Tanzania]Duniani]
*{{Commons category|Karate}}
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
==Other websites ==
{{Commons category|Karate}}
 
{{mbegu}}
 
{{Japan-stub}}
 
{{DEFAULTSORT:Karate}}
 
[[CategoryJamii:Japani]]
[[Category:Michezo ya mapigano]]
[[Category:Japani]]