Krete : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Zamani ([[2700 KK|2700]]–[[1420 KK]] hivi) Krete ilikuwa kiini cha [[ustaarabu wa Minoa]], wa kwanza kustawi huko [[Ulaya]].<ref name="Ancient Crete">[http://oxfordbibliographiesonline.com/display/id/obo-9780195389661-0071 Ancient Crete] Oxford Bibliographies Online: Classics</ref>
 
Inatajwa na [[Biblia]]<ref>[[Mdo.]] 27,13</ref> pamoja na tabia za wakazi wake.
 
Katika [[miaka ya 60]] [[Mtume Paulo]] alimuacha huko [[askofu]] [[Tito]] ili aweke [[wakfu]] [[padri|mapadri]] katika kila mji. Halafu alimuandikia [[Waraka kwa Tito|barua maarufu]].