Bamako : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 102 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3703 (translate me)
No edit summary
Mstari 14:
}}
[[Picha:Bamako et fleuve Niger.jpg|thumbnail|260px|Bamako na [[mto Niger]]]]
[[Picha:Mali-Bamako.png||thumbnail|left|260px|Bamako katikanchini Mali]]
[[Picha:Hilltop view over Bamako.jpg|right|thumb|260px|Bamako kutoka mlimani]]
[[Picha:People working at a Garbage Field in Bamako - 14th February 2005.jpg|right|260px|Watu huchunguza takataka Bamako]]
Mstari 21:
 
== Historia ==
Bamako ilianzishwa kama mji katika karne ya 17 [[BK]] na machifu wa kabila la [[Niare]] [[Seribadian Niaré]] na [[Soumba Coulibaly]]. Jina la asili lilikuwa "Bammako" ([[Kibambara]]: ''"bwawa la mamba"''). Bamako ilikuwa soko muhimu pamoja na mji wa elimu ya Kiislamu katika Dola la Mali. Wakati wa karne ya 19 sifa zake zilikuwa zimepungua. Mwaka 1883 Wafaransa walikuta kijiji kikubwa cha watu 600 chenye kuta za ulinzi.
 
Wakati wa ukoloni Bamako ikawa makao makuu ya koloni yala [[Senegal ya Juu-Niger]] mwaka 1899 halafu mji mkuu wa [[Sudan ya Kifaransa]] mwaka 1920. Ikulu ya Koulouba ilijengwa 1907 kama makao makuu ya gavana ikawa ikulu ya rais baada ya uhuru.
 
Mwaka 1904 Bamako iliunganishwa na reli ya [[Dakar]] - [[Niger]]. Majengo mengine ya siku zile yalikuwa kanisa kuu la katoliki mwaka 1927, daraja la kwanza juu ya mto Niger 1947 na misikiti mkuu mwaka 1948.
 
Mwaka 1955 Bamako ilipewa cheo cha mji kufuatana na sheria ya kifaransa. Meya mwafrika wa kwanza alikuwa [[Modibo Keïta]] mwaka 1956.
 
Tarehe 22 Septemba 1960 Mali ikapata uhuru wake Bamako ikawa mji mkuu wa jamhuri.
Mstari 52:
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.bamako-culture.org/ Bamako-culture.org (French languageKifaransa)]
* [http://www.cites.tv/citesdumonde/destinations.php?idDest=11 Bamako at ''Cités du Monde'' (French languageKifaransa)]
* [http://mrzine.monthlyreview.org/bamako.html The Bamako Appeal]
* [http://travel2.nytimes.com/2006/04/02/travel/02mali.html?ex=1144641600&en=5d9d61a127019b74&ei=5070&emc=eta1/ MaliMakala Musickuhusu Scenemuziki articlewa inMali thetoka New York Times]
* [http://www.nytimes.com/2006/04/02/travel/02music.html/ MusicMakala sampleszinazohusu articlemuziki in thetoka New York times]
 
{{Commons}}