Mwezi mpevu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 23:
Katika hali hii nusutufe ya Mwezi inayotazama Dunia inaangazwa kabisa na mwanga wa Jua ikionekana kama [[duara]] kamili.
 
Kama Mwezi unafika kabisa katikati ya mstari Jua - Dunia (yaani [[ekliptiki]]) unaingia katika [[kivuli]] cha Dunia na [[kupatwa kwa Mwezi]] kunatokea. Kwa hiyo kupatwa kwa Mwezi unatokea pekee wakati wa Mwezi mpevu lakini haitokei kila Mwezi.
 
==Mwezi mpevu na pande za Mwezi==