Joseph Mbilinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Joseph Osmund Mbilinyi''' (amezaliwa [[1 Mei]] [[1972]]) ni rapa, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa kutoka nchini [[Tanzania]]. Anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama '''Mr. II''' na '''Sugu''' au '''2-proud'''. Huyu ni miongoni mwa waanzilishi wa mwanzo kabisa wa [[hip hop ya Tanzania]]. Kwanza akiwa na [[Da Young Mob]], ambao alishirikiana nao katika kinyang'anyiro cha [[Yo Rap Bonanza]] iliyokuwa inaandaliwa na akina Kim the Boyz na Ibony Moalim katika miaka ya 1990 kabla ya kwenda kuwa rapa wa kujitegemea na kutoka albamu ya kwanz iliyokwenda kwa jina la [[Ni Mimi]] mnamo mwaka wa 1995. Vivile Sugu ni [[mwanasiasa]] wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] ([[CHADEMA]]). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[ Mbeya Mjini]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]].<ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/239 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref><ref>[http://www.univie.ac.at/ecco/stichproben/Nr5_Englert.pdf Microsoft Word – Stichproben_Nr5_FERTIG.doc<!-- Bot generated title -->]</ref>
<ref name="stylusmagazine.com">[http://www.stylusmagazine.com/articles/pop_playground/bongoflava-the-primer.htm Bongoflava: The Primer – Pop Playground – Stylus Magazine<!-- Bot generated title -->]</ref> Mwishoni mwa mwezi Agosti, 2017, Sugu alifungua hoteli huko jijini Mbeya na kuipa jina la "Desderia Hotel".<ref>[http://www.richardmwambe.com/sugu-afungua-hoteli-ya-kifahari/ SUGU AFUNGUA HOTELI YA KIFAHARI] ingizo la tarehe 1 Septemba, 2017 - wavuti ya Richard Mwambe</ref>
 
==Diskografia==
Mr. II ndiyo msanii pekee wa [[hip hop ya Tanzania]] ambaye katoa albamu nyingi: