Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

No edit summary
 
Ningefurahi kama unapata nafasi kuyasoma na kutafakari tufanye nini. Kama si kopi-paste na kama ina thamani fulani - basi tuihifadhi. Ila tu namna gani??? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 21:30, 9 Novemba 2017 (UTC)
 
:Kumbe! Historia ya ajabu. Sijawahi kuona namna kama hii, hasa kwa vipengele vya ndani alivyoandika. Tena, mtandaoni haipo (nimetafuta majina mbalimbali aliyoyataja, pia sentensi kadhaa - hazipo kabisa mtandaoni). Labda ananakili kitabu, lakini nadhani ameandika mwenyewe. Shida ni asili yake. Haiwezekani kutolea utafiti wa binafsi katika wikipedia. Labda insha yake kuhusu historia ya Wangoreme ihifadhiwe kama kitabu katika wikibooks - angalia https://sw.wikibooks.org/wiki/Mwanzo. --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 15:10, 10 Novemba 2017 (UTC)
62,394

edits