Njia ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 7:
 
==Zodiaki au mzingo wa mwaka==
Tangu miaka mielfu watazamaji wa nyota katika tamaduni mbalimbali za Dunia walishika kumbukumbu ya mabadiliko haya yanayotokea sambamba na mabadiliko ya majira. Vilevile tangu kale watu waliwahi kupanga nyota za angani katika [[kundinyota]]. Kwa jumla ni kundinyota 12 za kurudia zilizonekana tangu kale ya kuwa Jua linapita katika maeneo yao katika muda wa mwaka. Mzingo unaonganisha kundinyota hizi 12 ambako Jua linapita ni mstari wa ekliptiki. Jina "ekliptiki" latokana na neno la kigiriki Εκλειψις ''ekleipsis'' linalotaja [[Kupatwa kwa Jua]] au [[Kupatwa kwa Mwezi]]. Maana kila mara tukio kama hili linatazamiwa Jua au Mwezi iko kwenye mstarti wa ekliptiki.
 
Kundinyota karibu zote kwenye mstari wa ekliptiki zinataja wanyama wa [[mitholojia ya Kigiriki]]. [[Wagiriki wa Kale]] walioonawakioona hasa picha za wanyama fulani katika kundinyotamstari husikahuu wakiitawakaita mstarimzingo huuwote ζῳδιακὸς κύκλος ''zoodiakos kiklos'', yaani "mzingo wa wanyama". Hapa ni asili ya jina la [[Zodiaki]] (pia Zodiki) inayotumiwa katika lugha nyingi; Waarabu wanasema hapa دائرة البروج dairat-al-buruj "mzingo wa minara" kwa sababu wanaita kundinyota hizi "minara za falaki" na dhana hili lilipokelewa katika Kiswahili kwa jina la "[[buruji za falaki]]".
 
==Miendo ya Jua inayoonekana ==