Njia ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Ekliptiki''' ([[ing.]] ''[[:en:ecliptic|ecliptic]]'') ni mstari wa kudhaniwa kwenye [[anga]] la [[Dunia]] ambako [[Jua]] linapita mbele ya [[nyota]] katika muda wa [[mwaka]] mmoja. Haionekani kirahisi kwa macho kwa sababu tunaona Jua wakati wa mchana ambako nyota hazionekani.
 
==Asili ya kutambua ekliptiki==
Mstari 12:
 
==Miendo ya Jua inayoonekana ==
Hali halisi Jua linakaa katika kitovu cha [[mfumo wa Jua]] likizungukwa na sayari, na wakati huohuo unazunguka polepole kitovu cha [[Njia Nyeupe]] pamoja na mfumo wake wa [[sayari]], [[miezi]] na [[asteroidi]]. Dunia yetu ni sayari mojawapo inayozunguka kwenye [[mhimili wa mzunguko|mhimili wake]] ukifuata [[obiti]] yake ya kuzunguka Jua. Lakini hii hatuwezi kuona moja kwa moja na hali hii imetambuliwa tu wakati wa karne iliyopita.
 
Kwa macho ya mtazamaji aliye duniani kuna miendo miwlimiwili tofauti ya Jua:
 
'''* Mwendo wa Jua kuhusiana na Dunia:''' Jua linapita angani kuanzia mashariki hadi magharibi, kila siku ikipita kilele cha anga wakati wa mchana. Vilevile nyota zinaonekana zinazunguka angani sawa na Jua lakini wakati wa usiku. Asubuhi inayofuata Jua linatokea tena palepale, au karibu palepale ilipoonekana siku ya jana.
 
'''* Mwendo wa Jua kuhusiana na Nyota:''' Kuna mwendo wa pili ni mwendo wa jua mbele ya nyota ambao linaonekana kufabnyakufuata mzongomzingo wa kila mwaka yaano Zodiaki.
 
Kwa macho ya mtazamaji aliye duniani kuna miendo miwli tofauti ya Jua:
* Jua linapita angani kuanzia mashariki hadi magharibi, kila siku ikipita kilele cha anga wakati wa mchana. Vilevile nyota zinaonekana zinazunguka angani sawa na Jua lakini wakati wa usiku. Asubuhi inayofuata Jua linatokea tena palepale, au karibu palepale ilipoonekana siku ya jana.
 
*Kuna mwendo wa pili ni mwendo wa jua mbele ya nyota ambao linaonekana kufabnya mzongo wa kila mwaka.