Majadiliano:Rudi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Muddyb alihamisha ukurasa wa Majadiliano:Rudi hadi Majadiliano:Rudi (kata): Sio maarufu..
 
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 1:
#REDIRECT [[Majadiliano:Rudi (kata)]]
 
== Ushabiki mkubwa kwenye wimbo ==
 
Wikipedia ni kamusi elezo huru ambayo inapaswa kuchukua msimamo wa kati zaidi katika kulieleza jambo. Makala hii ina maneno ambayo yanampelekea msomaji kupata mtazamo wa mwandishi badala ya hali halisi, ingawa hata kama hali halisi huenda ni hiyo lakini mwandishi ni bora kuchukua msimamo wa kati. '''[[Mtumiaji:Almasimagorwa|Almasimagorwa]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Almasimagorwa|majadiliano]])''' 19:47, 10 Novemba 2017 (UTC)
Return to "Rudi" page.