Jozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Pair of mandarin ducks.jpg|300px|thumb|Jozi ya bata]]
'''Jozi''' ni namna ya kutaja vitu viwili vilivyo pamoja na vinavyofanana. Ni namna nyingine ya kusema "[[mbili]]" lakini kwa kukazia tabia ya kuwa pamoja.
 
Neno latokana na [[Kiarabu]] <big>جوزاء</big> ''jawza'' inayomaanisha pia "mapacha".
 
Mifano ya jozi za kawaida ni viatu, soksi, macho. Khanga zinauzwa mara nyingi kwa jozi.