Tofauti kati ya marekesbisho "Bahari ya Mashariki ya China"

no edit summary
na [[Bahari ya China Kusini]].<ref>Pinxian Wang, Qianyu Li, Chun-Feng Li, ''Geology of the China Seas'' (2014), p. 667.</ref> <ref>"The four seas of China, the Bohai Sea, the Huanghai Sea, the East China Sea, and the South China Sea, occupy a total area of about 4.7 million km2, half of the area of China mainland. These seas are located in the southeastern margin of the Eurasian continent and subject to the interactions between the Eurasian, Pacific, and Indian-Australian plates. The seas have complicated geology and rich natural resources". Zhou Di, Yuan-Bo Liang, Chʻeng-kʻuei Tseng, ''Oceanology of China Seas'' (1994), Volume 2, p. 345.</ref>
 
[[Bahari]] hiyo ni sehemu ya [[Bahari ya Pasifiki]] na inachukua eneo la [[kilomita za mraba]] zipatazo 1,249,000. Nchini [[Uchina]], bahari hii inaitwa '''Bahari ya Mashariki'''.
 
Nchini [[Korea Kusini]], bahari hii kuna kipindi huitwa '''Bahari ya Kusini''', lakini hii mara nyingi hutumiwa kutajia eneo la karibu na pwani ya kusini mwa nchi ya [[Korea Kusini]].
{{Mbegu-jio-Asia}}
[[Jamii:Pasifiki]]
[[Jamii:Bahari zaya pembeni]]
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Uchina]]