Tumbaku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
==Asili ya tumbaku==
Asili ya tumbaku iko katikani Amerika ambako [[Maindio]] wenyeji waliitumia kama dawa laya kidini pia laya burudani. Tangu [[Kolumbus]] Wahispania walipeleka mtumbaku hadi Ulaya ambako uliangaliwa mwanzoni kama mmea wa kiganga. Matumizi hasa kwa njia ya kuvuta na kutafuna yalienea haraka katika Ulaya na kwa njia ya mabaharia Wareno katika pande zote za dunia.
[[Picha:Tobacco field cuba1.jpg|thumbnail|Shamba la tumbaku nchini Kuba]]
==Kazi ya nikotini ndani ya tumbaku==
Tumbaku inavutiwa hasa kwa sababu nikotini ambayo ni dawa ndani yake inaathiri ubongo na neva ya binadamu na kupunguza uchovu na kusaidia mtu kusikia utulivu na raha. Tofauti na madawa mengine kama alikoholipombe, bhangi au afyuni yanayoathiri pia ubongo na neva tumbaku haisababishi hali ya ulevi. Lakini inasababisha haraka uzoefu wa mwili unaoshikwa na hamu ya kupata nikotini tena na tena. Hapo ni vigumu kwa watu walioanza kutumia tumbaku mara kwa mara uachanakuachana na matumizi yake.
 
==Hatari za kiafya==