Ukumbusho (liturujia) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ukumbusho''' (kutoka kitenzi "kukumbuka"; kwa Kiyahudi '''זִכָּרוֹן''', ''Zikkaron''; kwa Kiingereza "Memorial") ni neno zito katika...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Archivo:Liturgy St James 2.jpg|thumb|250px|Maandalizi ya [[Liturujia ya Kimungu]] katika [[madhehebu]] yanayofuata [[liturujia ya Ugiriki]].]]
'''Ukumbusho''' (kutoka [[kitenzi]] "kukumbuka"; kwa [[Kiyahudi]] '''זִכָּרוֹן''', ''
Ni tendo ambalo linataka kumfanya [[Mungu]] na [[watu]] kukumbuka tukio la [[historia ya wokovu]]. Tena, kwa wenye [[imani]] hiyo, si kama kukumbuka tukio lingine la zamana ambalo limepita tu. Ni kwamba kwa tendo hilo Mungu anafanya tukio liwepo upya kwa waliopo na kuwaletea [[neema]] zake ambazo zinawaelekeza kwenye utimilifu wa [[wokovu]] utakaopatikana baadaye.
Line 15 ⟶ 16:
==Viungo vya nje==
*
{{mbegu-dini}}
[[Category:Ekaristi]]
|