Vipimo sanifu vya kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
▲ [[:en:International system of measurements|International system of measurements]], [[far.]]: '''Système International d'unités'''; kifupi chake: '''SI''') ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na [[kizio|vizio]] vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na [[Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo]].
Mfumo huu unatumia vizio saba vya kimsingi pamoja na viambishi awali 20 kwa kutaja [[vigawe]] au sehemu za vizio hivi katika mfumo wa [[viambishi awali vya vipimo sanifu]] vya SI.
Vizio vya kimsingi ni:
* urefu ([[mita]]),
* masi ([[kilogramu]]),
* wakati ([[sekunde]]),
* mkondo wa umeme ([[ampea]]),
* halijoto ([[kelvini]]),
* kanieneo ([[paskali]]),
* kiasi cha dutu ([[moli]]),
* mwangaza ([[kandela]])
Vizio vyote vingine kama vile eneo, shinikizo au ukinzani kiumeme vinatokana na vizio asilia.
[[Kipimo|Vipimo]] hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.
==Tazama pia==
*[[Vipimo asilia vya Kiswahili]]
[[Jamii:Vipimo]]
|