Neema : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Neema''' ni Huruma ya Mungu kwa wanadamu inayoambatana na Baraka.
 
[[nenoNeno]] lenye maana mbalimbali, kama vile za kiroho na za kiuchumi, lakini zote zinaelekeza kumfikiria [[Mungu]] kama [[asili]] yake kuu.
 
[[Teolojia]] katika [[dini]] mbalimbali inatumia neno hilohili kadiri ya [[imani]] yake.
 
Kwa namna ya pekee neno linatiwa mkazo katika [[Ukristo]] unaosisitiza kwamba yote ni neema (kwa [[Kigiriki]]: χάρις, kharis; kwa [[Kilatini]]: gratia).