Tofauti kati ya marekesbisho "Neema"

172 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Neema''' ni Hurumajambo yalolote Mungujema kwaambalo wanadamu[[binadamu]] inayoambatanaanapata nakatika Baraka[[maisha]] yake.
 
[[Neno]] hilo kwa [[Kiswahili]] ni pana, lenye maana mbalimbali, kama vile zamema ya [[Roho|kiroho]] na zaya [[Uchumi|kiuchumi]], lakini zote zinaelekeza kumfikiria [[Mungu]] kama [[asili]] yake kuu. Ni [[huruma]] ya Mungu kwa wanadamu inayoambatana na [[baraka]].
 
[[Teolojia]] katika [[dini]] mbalimbali inatumia neno hili kadiri ya [[imani]] yake.
 
Kwa namna ya pekee neno linatiwa mkazo katika [[Ukristo]] unaosisitiza kwamba mambo yote ni neema (kwa [[Kigiriki]]: χάρις, kharis; kwa [[Kilatini]]: gratia, yaani deso, kitu cha bure).
 
Hata hivyo [[madhehebu]] yake yanatofautiana sana katika kutafsiri tamko hilo.