Himalaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Himalaya ina [[milima]] mikubwa [[duniani]]. Milima 14 mirefu kabisa ya dunia iko Himalaya.
 
Kati ya milima mikubwa zaidi ni [[MountMlima Everest]], [[K2]] na [[Nanga Parbat]].
 
Ndani ya milima hii ya Himalaya kuna sehemu ambayo ni ya [[tatu]] duniani kwa kuwa na sehemu kubwa yenye [[barafu]] na [[theluji]] baada ya [[Antaktika]] na [[Aktiki]].<ref name=pbs_nature/>.
 
==Tazama pia==