Himalaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
Himalaya ina [[milima]] mikubwa [[duniani]]. Milima 14 mirefu kabisa ya dunia iko Himalaya.
 
Milima yote iliyofika [[mita]] [[elfu]] [[nane]] juu ya [[usawa wa bahari]] iko katika [[safu]] ya [[Himalaya]]:
Kati ya milima mikubwa zaidi ni [[Mlima Everest]], [[K2]] na [[Nanga Parbat]].
* [[Everest]] (m 8,848), [[Nepal]] - [[Tibet]], [[Asia]]
* [[K2]] (m 8,611), [[Pakistan]] - [[Xinjiang]], [[Uchina]], Asia
* [[Kangchenjunga]] (m 8,586), Nepal - [[India]], Asia
* [[Lhotse]] (m 8,511), Nepal - Tibet, Asia
* [[Makalu]] (m 8,463), Nepal - Tibet, Asia
* [[Oyu CHO]] (m 8,201), Nepal - Tibet, Asia
* [[Dhaulagiri]] (m 8,167), Nepal, Asia
* [[Manaslu]] (m 8,163), Nepal, Asia
* [[Nanga Parbat]] (m 8,125), Pakistan, Asia
* [[Annapurna]] (m 8,091), Nepal, Asia
* [[Gasherbrum I]] (m 8,080), Pakistan - Xinjiang, Uchina, Asia
* [[Shishapangma]] (m 8,012), Tibet, Asia
 
Ndani ya milima hii ya Himalaya kuna sehemu ambayo ni ya [[tatu]] duniani kwa kuwa na sehemu kubwa yenye [[barafu]] na [[theluji]] baada ya [[Antaktika]] na [[Aktiki]].