Makalu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,463 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya [...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:10, 15 Novemba 2017

Makalu ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,463 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Kilele chake kipo katika mpaka wa Nepal na Tibet (Uchina).

Tazama pia

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makalu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.