Masafa ya mawimbi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masafa badala ya urefu
No edit summary
Mstari 1:
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inaonyesha umbali kati ya vilele viwili au masafa ya mawimbi. Herufi ya Kigiriki <big>λ</big> [[Lambda]] ni alama ya urefu wa wimbi.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili.]]
'''Masafa ya mawimbi''' (pia '''urefu wa wimbi'''<ref>Kamusi ya TUKI</ref>, mara chache '''lukoka'''<ref>Lukoka ni [[pendekezo]] la [[KAST]], [[1995]] lisilotumika sana</ref>; kwa [[Kiingereza]] ''wavelength'') ni namna ya kupima na kutaja [[ukubwa]] wa [[wimbi]].