Insha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Insha''' ni kfungu cha maneno kilicho pangwa kwa mpangilio maalumu wenye kueleza kuhusu jambo fulani uliopangwa katika aya.Insha huwa inaelezea jambo fulani...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Insha''' ni kfungukifungu cha maneno kilicho pangwakilichopangwa kwa mpangilio maalumu wenye kueleza kuhusu jambo fulani uliopangwa katika aya.Insha huwa inaelezea jambo fulani [[Mifano ya Yesu|mfano]],matukio ya [[Mauaji ya kimbari|mauaji]],[[ugonjwa]] fulani,kuhusu [[mmea]] fulani,[[mnyama]] na kadharika.
 
Insha huwa inaelezea jambo fulani, kwa mfano: matukio ya [[Mauaji ya kimbari|mauaji]], [[ugonjwa]] fulani, [[mmea]] fulani, [[mnyama]] na kadhalika.
== Sehemu za insha. ==
 
kwa kawaida insha ina sehemu kuu [[nne]] ambazo ni,
== Sehemu za insha. ==
kwaKwa kawaida insha ina sehemu kuu [[nne]] ambazo ni,
* Kichwa cha habari.
'''* Utangulizi wa insha'''.
 
* utanguliziKiini wacha insha.
* kiini cha insha.
* Mwisho wa insha.
'''Kichwa cha habari'''
 
Hii ni sehemu ya kwanza ya insha ambayo huandikwa kitu kinacho taka kuzungumzwa kwenye insha hiyo.Sehemu hii huandikwa kwa [[herufi]] kubwa na kupigiwa [[Mstari mnyoofu|mstari]] mfano,<u>MATUMIZI YA [[Madawa ya kulevya|MADAWA YA KULEVYA]]</u>.
 
'''Utangulizi wa insha'''
 
Hii ni sehemu ya pili ya insha ambapo [[mwandishi]] hueleza kwa ufupi kile ambacho angependa kwenda kukiongelea kwenye
 
'''===Kichwa cha habari'''===
insha yake,Sehemu hii mwandishi huandika kwa [[Ufupisho|ufupi]] tu kile anachotaka kukielezea.
Hii ni sehemu ya kwanza ya insha ambayo huandikwa kitu kinacho takakinachotaka kuzungumzwa kwenye insha hiyo. Sehemu hii huandikwa kwa [[herufi]] kubwa na kupigiwa [[Mstari mnyoofu|mstari]] mfano, <u>MATUMIZI YA [[Madawa ya kulevya|MADAWA YA KULEVYA]]</u>.
 
'''Kiini===Utangulizi chawa insha'''===
Hii ni sehemu ya pili ya insha ambapo [[mwandishi]] hueleza kwa ufupi kile ambacho angependa kwenda kukiongelea kwenye insha yake. sehemu hii mwandishi huandika kwa ufupi tu kile anachotaka kukielezea.
Insha
* kiini===Kiini cha insha.===
Hii ni sehemu ya tatu katika insha. Sehemu hii mwandishi huelezea kwa undani zaidi kile kitu ambacho alipanga kukiongelea kwenye utangulizi na kwenye kichwa cha [[habari]] yake. Katika sehemu hii mwandishi hupanga mawazo yake katika aya, Kila wazo huwa na aya yake.
 
'''===Mwisho wa insha'''===
Hii ni sehemu ya tatu katika insha .Sehemu hii mwandishi huelezea kwa undani zaidi kile kitu ambacho alipanga
Sehemu hii mwandishi huandika [[hitimisho]] la insha yake. Kwa kawaida sehemu hii huwa ni fupi na hupangwa katika aya nyingine.
 
==Tazama pia==
kukiongelea kwenye utangulizi na kwenye kichwa cha [[habari]] yake.Katika sehemu hii mwandishi hupanga mawazo yake katika aya,Kila wazo huwa na aya yake.
* [[Insha zisizo za kisanaa]]
* [[Insha ya wasifu]]
* [[Insha za hoja]]
* [[Insha ya kisanaa]]
 
{{mbegu-lugha}}
'''Mwisho wa insha'''
 
[[Jamii:Fasihi]]
Sehemu hii mwandishi huandika [[hitimisho]] la insha yake.Kwa kawaida sehemu hii huwa ni fupi na hupangwa katika aya nyingine.