Insha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
 
===Utangulizi wa insha===
Hii ni sehemu ya pili ya insha ambapo [[mwandishi]] hueleza kwa ufupi kile ambacho angependa kwenda kukiongelea kwenye insha yake. Katika sehemu hii mwandishi huandika kwa ufupi tu kile anachotaka kukielezea.
 
Insha
===Kiini cha insha===
Hii ni sehemu ya tatu katika insha. Sehemu hii mwandishi huelezea kwa undani zaidi kile kitu ambacho alipanga kukiongelea kwenye utangulizi na kwenye kichwa cha [[habari]] yake. Katika sehemu hii mwandishi hupanga mawazo yake katika aya, Kila wazo huwa na aya yake.