Marudio (fizikia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Falenawodzieanim.gif|thumb|220px|Idadi ya mawimbi yanayopita katika dakika ni kipimo cha marudio]]
[[Picha:FrequencyAnimation.gif|thumbnail|<small>Mfano wa taa inayowaka kwa marudio ya a) <math>f = 0,5\,\text{Hz}</math>, b)<math>f = 1\,\text{Hz}</math> na c) <math>f = 2\,\text{Hz}</math>.. f ni alama ya Hz katika fomula; 1 Hz inamaanisha ya kwamba taa inawaka mara 1 kila sekunde. 0.5 Hz inamaanisha inawaka kila sekunde 2 = mara 0.5 kila sekunde 2; 2 Hz inawaka mara 2 kila sekunde.<br/> T (alama ya ''tempus'', ''time'') ni alama ya wakati katika fomula, inataja kipindi cha marudio yaani ni sekunde ngapi kutoka kuwaka hadi kuwaka.</small>]]
 
'''Marudio''' ([[ing.]] ''[[:en:frequency|frequency]]'', alama yake ni '''f''') ni kipimo kichachosema ni mara ngapi tukio linatokea tena na tena kila baada ya kipindi fulani.
 
Kwa mfano ukikaa kando la bwawa au bahari penye [[mawimbi]] unaweza kuhesabu ni mawimbi mangapi yanayopita kwako katika dakika moja. Namba hii ni marudio ya mawimbi haya.