Tofauti kati ya marekesbisho "Thomas Aquinas Mtakatifu"

109 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
 
==Upekee wake==
[[File:Tommaso - Super Physicam Aristotelis, 1595 - 4733624.tif|thumb|''Super Physicam Aristotelis'', 1595]]
[[Sababu]] si mafundisho yake tu, bali [[mbinu]] alizozitumia katika kusanisi falsafa na teolojia bila kuzichanganya kama ilivyotokea kabla yake. Falsafa kama ile ya Aristotle iliweza kujitegemea katika hoja zake, badala ya kumezwa na teolojia ambayo ilitegemea imani katika Ufunuo wa Mungu na kuja kukamilisha falsafa pale ambapo hiyo haiwezi kufika.