Tofauti kati ya marekesbisho "Yohane wa Dameski"

73 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
(→‎Maisha: +img)
 
== Maisha ==
[[File:Ioannis Damasceni Opera.tif|thumb|Ioannis Damasceni Opera, 1603]]
Alizaliwa Damasko mwaka 676 hivi, labda katika [[familia]] ya Kiarabu ya [[Ukristo|Kikristo]]. Baba yake alikuwa Sarjūn ibn Manṣūr. Babu yake, Manṣūr, alikuwa wa kwanza katika familia kupewa vyeo vikubwa chini ya utawala wa [[halifa]] [[Mu'awiya bin Abi Sufyan]] na wa waandamizi wake.