Yohane wa Dameski : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 13:
== Maisha ==
[[File:Ioannis Damasceni Opera.tif|thumb|Ioannis Damasceni Opera, 1603]]
Alizaliwa DamaskoDameski mwaka 676 hivi, labda katika [[familia]] ya Kiarabu ya [[Ukristo|Kikristo]]. Baba yake alikuwa Sarjūn ibn Manṣūr. Babu yake, Manṣūr, alikuwa wa kwanza katika familia kupewa vyeo vikubwa chini ya utawala wa [[halifa]] [[Mu'awiya bin Abi Sufyan]] na wa waandamizi wake.
 
Baba yake pia alikuwa mwanasheria, akafuatwa na Yohane ambaye bado kijana alipata kuwa mshauri wa halifa wa [[Damasko]] na msimamizi wa mali yake.