Duaradufu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 7:
Kwa maana duaradufu (''[[ing.]]: oval'') ya jiometria ni [[mchirizo]] uliofungwa kwenye [[bapa]] moja. Kuna angalau mhimili 1 inayogawa umbo kwa nusu 2 sawa. Hapo duara ni mfano mmoja wa maumbo yanayoweza kuitwa duaradufu
 
Kwa maana ya pekee duaradufu ([[[[ing.]] :en:ellipse]]) ni umbo linalopatikana wakati bapa inakata gimba la [[pia]] kimsharazi na pande mkabala za pia kwa namna ya kuleta mchirizo uliofungwa.
 
Kwa mtazamo huu [[duara]] ni hali ya pekee ya duaradufu inayopatikana kama bapa inakata pia kwa nyuzi sulubi (90°) kwa mhimili wa pia.