Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 92:
== Nairobi ya leo ==
[[File:The_modern_skyline_of_Nairobi.jpg|thumb|Nairobi leo.]]
http://www.greenskychaser.com/blog/wp-content/uploads/2011/03/800px-Nairobi_Skyline.jpg
 
Nairobi imeibuka kuwa mojawapo kati ya miji mikubwa katika bara la Afrika. Mashirika mengi makubwa [[duniani]] yamefungua [[ofisi]] zao zinazoshuhudia eneo la Afrika ya Mashariki na [[Afrika ya Kati]]. Mojawapo ya mashirika haya ni ofisi za tawi la [[Umoja wa Mataifa]] (United Nations), [[UNEP]]. Kunazo pia ofisi za [[balozi|mabalozi]] wa nchi mbalimbali duniani.