Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
|website = [http://www.nairobi.go.ke/ nairobi.go.ke]
}}
 
[[Picha:25332612.nairoboi013.JPG|thumb|260px|Jomo Kenyatta]]
'''Nairobi''' ni [[mji mkuu]] wa [[Kenya]] na vilevile mojawapo ya [[mikoa ya Kenya]]. Ni kati ya [[miji]] mikubwa ya [[Afrika]] ukiwa na wakazi wapitao [[milioni]] 3. Kulingana na [[sensa]] ya [[mwaka]] [[2009]], Nairobi ina wakaaji 3,138,295 katika eneo la [[km2]] 696 (sq mi 269).
Line 92 ⟶ 91:
== Nairobi ya leo ==
[[File:The_modern_skyline_of_Nairobi.jpg|thumb|Nairobi leo.]]
[http://www.greenskychaser.com/blog/wp-content/uploads/2011/03/800px-Nairobi_Skyline.jpg]
 
Nairobi imeibuka kuwa mojawapo kati ya miji mikubwa katika bara la Afrika. Mashirika mengi makubwa [[duniani]] yamefungua [[ofisi]] zao zinazoshuhudia eneo la Afrika ya Mashariki na [[Afrika ya Kati]]. Mojawapo ya mashirika haya ni ofisi za tawi la [[Umoja wa Mataifa]] (United Nations), [[UNEP]]. Kunazo pia ofisi za [[balozi|mabalozi]] wa nchi mbalimbali duniani.