Tungamo ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Masi ya Jua''' (ing. ''en:Solar mass'') inataja masi ya Jua letu ambayo ni takriban kilogramu 1.99 × 10<sup>30</sup> . Hi inalingana n...'
 
No edit summary
Mstari 8:
 
Alama yake ni ''M<sub>☉</sub>'' ambako "M" inamaanisha "[[masi]]" na ☉ ni ishara ya Jua.
 
== Vizio vinavyolingana ==
Masi moja ya Jua inalingana na
 
* 27,068,510 x masi ya [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] '''M<sub>☽</sub>'''
* 332,946 x masi ya [[Dunia]] '''M<sub>♁</sub>'''
* 1,048 x masi ya [[Mshtarii]] '''M<sub>♃</sub>'''.
 
[[Njia Nyeupe]] ([[galaksi]] yetu) ina takriban milioni 180 masi za Jua ambayo inalingana na kilogramu 3.6&nbsp;·&nbsp;10<sup>41</sup>.
 
 
==Marejeo==