Nusukipenyo ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Nusukipenyo cha Jua''' (ing. ''[[:en:solar radius|solar radius]]'') ni nusu ya [[kipenyo]] cha [[Jua]] letu na hivyo sawa na umbali wa kilomita 696.342 au mara 109 kipenyo[[nusukipenyo]] cha Dunia<ref>Marcelo Emilio et al.: ''Measuring the Solar Radius from Space during the 2003 and 2006 Mercury Transits.'' In: ''Astrophysical Journal'' Bd. 750, Nr. 2, {{Bibcode|2012ApJ...750..135E}}, {{Doi|10.1088/0004-637X/750/2/135}}</ref>.
 
Umbali huu hutumiwa kama [[kizio]] katika sayansi ya [[astronomia]] kwa kutaja ukubwa wa magimba kwenye [[anga la nje]] hasa [[nyota]].