Mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:Q34679
No edit summary
Mstari 4:
Kufuatana na mapatano ya kitaalamu mawe huitwa "mchanga" kama punje zake ziko kati ya milimita 0.063 hadi 2.
 
Punje hizi zatokana na [[mmomonyoko]] wa mawe makubwa zaidi kama [[changarawe]] yaliyosukumwa na upepo au maji kwa mfano [[mto]]ni, [[bahari]]ni au kwenye mtelemkomteremko wa mlima.
 
Mchanga hupatikana kwa wingi hasa kando laya bahari, [[jangwa]]ni au mtoni.
 
Mchanga ukichanganywa na [[saruji]] na maji huwa [[zege]] inayotumiwa kwa [[ujenzi]].
 
<gallery>