Vega : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Vega.png|300px|thumb|Nyota Vega katika Kinubi (Lyra)]]
'''Vega''' au <big>α</big> '''Alfa Lyrae''' ni nyota angavu zaidi katika kundinyota ya [[Kinubi (kundinyota)|Kinubi]] (ing. ''[[:en:Lyra (constellation)|Lyra]]'') na kati ya nyota angavu sana kwenye anga ya usiku.
 
Jina latokana na Kiarabu ا<big>لنسر الواقع</big> ''al-nasr al-waqi'' , hasa kutoka sehemu ya pili <big>واقع</big> ambamo herufi ya <big>ق</big> ''q'' ilichukuliwa kama "g" na hivyo kuleta "Vega" kwa tahajia ya Kilatini. Hii ni jina lililokubaliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]]<ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya Ukia, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.