Nondo (mdudu) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa maana menginenyingine za jina hili tazama [[nondo (maana)]]</sup>
{{Uainishaji
| rangi = pink
Mstari 19:
* [[Zeugloptera]]
}}
'''Nondo''' ni [[wadudu]] wa [[oda]] ya [[Lepidoptera]] (lepidos = gamba, ptera = [[bawa|mabawa]]) ambao wanabeba vigamba juu ya mabawa yao. Nondo wanafanana na [[kipepeo|vipepeo]] lakini wanatofautiana kwa umbo wala [[kipapasio|vipapasio]]. Vile vya vipepeo ni kama nyuzi zenye kinundu mwishoni kwao lakini vile vya nondo vina maumbo mbalimbali bila kinundu. Juu ya hiyo takriban nondo wote hukiakia wakati wa usiku na vipepeo hukiakia wakati wa mchana. Kuna zaidi ya [[spishi]] 160,000 za nondo.
 
==Utangulizi==
Kama ilivyo kwa vipepeo mzunguko wa maisha wa nondo huwa na sehemu nne: [[yai]], [[kiwavi]] ([[lava]]), [[bundo]] na [[ndumili]] ([[w:imago|imago]]). Takriban spishi zote huruka wakati wa usiku lakini nyingine huruka jioni na spishi kadhaa wakati wa mchana. [[Bawa|Mabawa]] yakiwa yamefungwa rangi za nondo ni kahawia na/au kijivu hasa na mara nyingi wana rangi za [[kamufleji]] (mabakamabaka ya kijani). Lakini wakifungua mabawa yale ya nyuma yana rangi kali mara nyingi au mabaka yanayofanana na [[jicho|macho]]. Hii inashtua mbuai wao kama [[ndege]] na [[mjusi|mijusi]].
 
Takriban nondo wapevu wote hawali, lakina kadhaa hula [[mbochi]]. Viwavi vya spishi nyingi vinakula [[mmea|mimea]] ya mazao. Kwa kawaida wakulima hutumia [[Dawa ya Kikemikali|dawa za kikemikali]] kuua viwavi hivi. Lakini siku hizi vimekuwa sugu dhidi ya dawa hizi. Kwa hivyo ni bora kutumia [[dawa za kibiolojia]], kama [[Bacillus thuringiensis|''Bt'']] au virusi au [[Kuvu Kiuawadudu|kuvu viuawadudu]].