Nondo (mdudu) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 19:
* [[Zeugloptera]]
}}
'''Nondo''' ni [[wadudu]] wa [[oda]] ya [[Lepidoptera]] (lepidos = [[gamba]], ptera = [[bawa|mabawa]]) ambao wanabeba vigamba juu ya mabawa yao. Nondo wanafanana na [[kipepeo|vipepeo]] lakini wanatofautiana kwa umbo la [[kipapasio|vipapasio]]. Vile vya vipepeo ni kama nyuzi zenye kinundu mwishoni kwao lakini vile vya nondo vina maumbo mbalimbali bila kinundu. Juu ya hiyo takriban nondo wote hukiakia wakati wa usiku na vipepeo hukiakia wakati wa mchana. Kuna zaidi ya [[spishi]] 160,000 za nondo.
 
==Utangulizi==