Nondo (mdudu) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 22:
 
==Utangulizi==
Kama ilivyo kwa vipepeo mzunguko wa maisha wa nondo huwa na sehemu nne: [[yai]], [[kiwavi]] ([[lava]]), [[bundo]] na [[ndumili]] ([[w:imago|imago]]). Takriban spishi zote huruka wakati wa usiku lakini nyingine huruka jioni na spishi kadhaa wakati wa mchana. [[Bawa|Mabawa]] yakiwa yamefungwa rangi za nondo ni kahawia na/au kijivu hasa na mara nyingi wana rangi za [[kamufleji|kamafleji]] (mabakamabaka ya kijani). Lakini wakifungua mabawa yale ya nyuma yana rangi kali mara nyingi au mabaka yanayofanana na [[jicho|macho]]. Hii inashtua mbuai wao kama [[ndege]] na [[mjusi|mijusi]].
 
Takriban nondo wapevu wote hawali, lakina kadhaa hula [[mbochi]]. Viwavi vya spishi nyingi vinakula [[mmea|mimea]] ya mazao. Kwa kawaida wakulima hutumia [[Dawa ya Kikemikali|dawa za kikemikali]] kuua viwavi hivi. Lakini siku hizi vimekuwa sugu dhidi ya dawa hizi. Kwa hivyo ni bora kutumia [[dawa za kibiolojia]], kama [[Bacillus thuringiensis|''Bt'']] au virusi au [[Kuvu Kiuawadudu|kuvu viuawadudu]].